Quantcast
Channel: English – Vijana FM
Viewing all articles
Browse latest Browse all 195

Mungu ni Athumani

$
0
0
Hili neno gratuity sifahamu ni wangapi wenu mlishawahi kulisikia kabla ya kutajwa huko Dodoma. Baadhi yetu tulishakumbana nalo miaka kadhaa iliyopita, na kama ni ushamba tu, lilitutoa. Tafsiri ya haraka haraka ya gratuity inaweza kufananishwa na bakshishi. Tatizo ni kuwa, bakshishi ni kama sadaka, unatoa unachotaka kutoa. Hii ni tofauti kabisa na wahalifu wanapokuvunjia usiku, hawaulizagi ni nini ungependa kuwapa […]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 195

Trending Articles